Sewer Sydaa ‘s No Lyrics

Ukitajwa utaitika kwa courtko Hearing ya 4th bro inasemekana ulipiga koto Suicider aliruka kwa 4th floor Hakudedi alisurvive raiyaa ikampiga mangoto

Uliingiana kwa mbosho No Naskia unamekuanga msoto No Iyo ni moshi ya local No Shh shh puff moja No 

Uliingiana kwa mbosho No Naskia unamekuanga msoto No Iyo ni moshi ya local No Shh shh puff moja No 

Front row kwa riot walidedi ata before revolution ianze Some days to ballot naona MCA ndio amekuja kuresume kazi First time in public na amekuja kuwa crush ka kamikaze Ka huezi Drill jipange na ka unaona unaeza ni reach kajikaze

Tuko na ma afande hii pande wanangoja kupata order from sergeant  Gava haiezi gawa mkate ka uko lucky watakuachia ma bakshish Sai tuko ma mzinga ma barley nikiongeza apo ganja kalale Mavete walizima apo ngware after niwachome moshi za foreign 

Back then tukianzanga hii mziki.. Ilikua tu DC na Sisi Bah deen tunamanga na siblings ile yenye ulikamilisha kamili Mtoto amekua mtoro umoroto naskia ameanza kupandisha kamisi Maisha ya mpini ye ubidi tukiwa msoto avoid tu polisi

Ukitajwa utaitika kwa courtko Hearing ya 4th bro inasemekana ulipiga koto Suicider aliruka kwa 4th floor Hakudedi alisurvive raiyaa ikampiga mangoto

Uliingiana kwa mbosho No Naskia unamekuanga msoto No Iyo ni moshi ya local No Shh shh puff moja No 

Uliingiana kwa mbosho No Naskia unamekuanga msoto No Iyo ni moshi ya local No Shh shh puff moja No  

Rule ya ma stoner, moja, the roller lazma apate the honors  Hauezi kam kuchoma ngoja na iyo kiherehere we ni joker smoker tellem Tuko matembe tuna pepea mbele kama Johnny za mbeere eeh Uspende bwerere fika ma ibe usiseme uliuziwa mkebe

See Also  Youssef El Khal Age, Wiki, Biography, Height, Weight, Net Worth

Ndani ya moshogi na ki mothongi tuambie utatoa ma utoi??!!  Courtesy ile design after kukuibia tunakuambia sorry Karatasi ikihide tunaingia Maili kuwashika bei ya jioni Tortoise ana walk tu slowly bila pressure ni ka ako ma codeine 

Bording si uingia na irori tunakuja na hasira zote ploti Kuwa burn siku ya 40 naskia kuna ngati ali peremba mbogi Missionaries walituona ma doggy, wengine walituona ma todhi Walienda kwa mrogi kushika ma Gondi Next thing unaskia kwa Courti

Ukitajwa utaitika kwa courtko Hearing ya 4th bro inasemekana ulipiga koto Suicider aliruka kwa 4th floor Hakudedi alisurvive raiyaa ikampiga mangoto

Uliingiana kwa mbosho No Naskia unamekuanga msoto No Iyo ni moshi ya local No Shh shh puff moja No 

Uliingiana kwa mbosho No Naskia unamekuanga msoto No Iyo ni moshi ya local No Shh shh puff moja No 

We will be happy to hear your thoughts

Leave a reply

Wasit
Logo