Akapandishwa cheo maendeleo akaanza kunikaana Akapata ndongo ndongo na mimi akanipa kisogo Ikawa kwangu makelele kwake starehe Kwangu matusi kwake mazuri Nashaanga Leo yuaniomba msamaha Yuanimbembeleza yuanitendekeza yuaninyenyekea mimi Nami sitodhubutu kumruhusu anihusu tena Ankula huu Na hasara juu Nilipoyangundua nikamuonya awachane nae Akaniona punguani akanivalia mi miwani Lakini mambo kaenda mrama bibi akaanza kutanga Leo yuashika tamaa huku akiniandama Ikawa kwake makelele kwangu starehe Kwake matusi kwangu mazuri nashaanga Leo yuaomba msamaha Yuanimbembeleza Yuanitendekeza yuaninyenyekea mimi Nami sitodhubutu kumruhusu anihusu tena Ankula huu Na hasara juu Wanasema kosa ni la kwanza Mara ya pili ni kwa madharau Ikiwa ntakurudia bwana Nakusihi usinbwage bwaya bwaya
We will be happy to hear your thoughts