Paul Clement’s Anatengeneza Lyrics o

(Anatengeneza) Anatengeneza ushuhuda wako Umshinde adui kwa ushuhuda wako Anatengeneza ushuhuda wako Umshinde adui kwa ushuhuda wako

Hilo ni neno lake Bwana Hilo ni neno, hilo ni neno

Nguvu yako inajengwa Katika hayo unayopitia Hio bonde la mauti, halitakumeza Maana kwa imani umehasabiwa

Nguvu yako inajengwa Katika hayo unayopitia Hio bonde la mauti, halitakumeza Maana kwa imani umehasabiwa

Anatengeneza ushuhuda wako Umshinde adui kwa ushuhuda wako Anatengeneza ushuhuda wako Umshinde adui kwa ushuhuda wako

Hilo ni neno lake Bwana Hilo ni neno, hilo ni neno Anatengeneza baba

Anatengeneza bado, anatengeneza bado Ushindi uko ndani yako, ushindi uko ndani yako Anatengeneza bado, anatengeneza bado Ushindi uko ndani yako, ushindi uko ndani yako

Anatengeneza bado, anatengeneza bado Ushindi uko ndani yako, ushindi uko ndani yako Anatengeneza bado, anatengeneza bado Ushindi uko ndani yako, ushindi uko ndani yako

Iyelele, iyelele, uuuh Iyelele, iyelele, uuuh Iyelele, iyelele, uuuh Iyelele, iyelele, uuuh

Usijali, kuna nchi ya maziwa na asali Bwana amekuandalia Usikubali kukata tamaa Usikubali kurudi nyuma

Bwana amesema, bwana ameona Unyonge wako wewe Bwana amesema, bwana ameona Mateso yako wewe

Bwana amesema, bwana ameona Unyonge wako wewe Bwana amesema, bwana ameona Atakubariki

Iyelele, iyelele, uuuh Iyelele, iyelele, uuuh Iyelele, iyelele, uuuh Iyelele, iyelele, uuuh

Iyelele, iyelele, uuuh Iyelele, iyelele, uuuh Iyelele, iyelele, uuuh Iyelele, iyelele, uuuh

See Also  Why do scorpions glow

We will be happy to hear your thoughts

Leave a reply

Wasit
Logo