Mama don’t cry One Six the one tell you Yeii ye eeh
Kuishi duniani napo pia kwetu karama(Aaah) Nayatambua maumivu yako mama(Aaah) Usihuzunike na kusema ameamua kuchukua wako tu Ni mapito ya dunia ma, mapito ya dunia
Uliamini wampa kondoo wakombozi(Aaah) Mshahara kwake schoolfees ulilipa Wakati mwingine hata njaa nililala Ukidhani nyumba utaleta mabigiri
Hey my mama don’t cry Muombee Jacky atasimama Pengine ni majaribu Kumpoteza junior wako inauma
Hey my mama don’t cry Muombee Jacky atasimama Pengine ni majaribu Kumpoteza junior wako inauma
Mziki umepoteza ndoto za mwanao ooh no no Ridhiki hakufanikiwa kuwa nao Alitaka kuwa doctor alitaka kuwa rubani Alitaka kuwa nahodha
Junior kupoteza alipoanza kuimba Shule kupuuza kwa kupenda muziki Ulimbembeleza aiwe mwanamuziki mama Hakusikiliza akasema mama niacha mama niache
Matokeo yake kakwachia simanzi Kuanza kuvuta sigara na mabangi Hata pombe nazo pia alitamani Uchungu wa mwana aujuaye mzazi
Mungu ni wa wote mama Usihuzunike moyo ooo Pole mama Junior wee Eeh eeh eeeh
Yo my mama don’t cry Nafahamu kwamba wazazi wengi sana Waliosomesha watoto wao kwa gharama nyingi Walijinyima wakati mwingine hata kula
Walilala njaa na watoto wao waikiamini kwamba Elimu ndio ufunguo wa maisha Elimu ndio itakayoleta ukombozi katika familia Na hata mzazi akizeeka asaidiwe
Matokeo yake wa kina mama zetu ambao wametuzaa Matumaini yao kuwa tunawaachia maumivu Baada ya kuingia kwenye shughuli ambayo Ukiamini inakutoa lakini shughuli hiyo kuna mawili Kuna pata potea, ni kama kamari namaanisha ni muziki Ambayo ukiamua kuingia kuna mafanikio au pia unaweza Kupata mafanikio hayo hayo ukayachezea Lakini pia unaweza usipate mafanikio ukapoteza muda Pole sana…
Ndoto za kuwa rubani Kutaka kuwa mwalimu Wenzake awafundishe
Ulitamani awe doctor Hata angekuwa nahodha Mameli atuendeshe
My mama don’t cry mama Ongeza kusali sana Atabadilika Junior Mungu yupo anamwona
Eeeh mama don’t cry yayayaya Ah wako Junior
Hey my mama don’t cry Muombee Jacky atasimama Pengine ni majaribu Kumpoteza junior wako inauma
Hey my mama don’t cry Muombee Jacky atasimama Pengine ni majaribu Kumpoteza junior wako inauma