Navy Kenzo’s Nisogelee Lyrics

Wapenda mambo ya pwani limbwata utanasa! Vurugu mfano wa tsunami kigoli matata, Nalamba mpaka jokeri mchezo wa karata. Utamu mpaka usogoni yaani swadakta!!

Nisogelee usiogope nisogelee  Nisogelee usiogope nisogelee Nisogelee usiogope nisogelee  Nisogelee usiogope nisogelee

Kibingwa nasanua Dera Najimwaga juu ya machela Mjanja anamega kisela Wajinga wana chunwa hela

Ohh lah mpela, ohh lah mpela Kitoto wee (Kitoto wee) Kitoto wee, (Kitoto wee)

Ohh lah mpela, ohh lah mpela Kitoto wee (Kitoto wee) Kitoto wee, (Kitoto wee)

Mini mi nimoo, Kasoro rojoro Maning’e ni mono, Kasoro rojoro Mini mi nimoo, Manong’oo ohh Minong’ono ohh, Mbegu ya sotojo

Baby just come over we gon make another  Even if u sober lets get on de sofa Baby just come over we gon make another  Even if u sober lets get on de sofa

Nisogelee usiogope nisogelee  Nisogelee usiogope nisogelee Nisogelee usiogope nisogelee  Nisogelee usiogope nisogelee

See Also  Taleban Dooda

We will be happy to hear your thoughts

Leave a reply

Wasit
Logo