Foby’s Sina Muda Lyrics

[VERSE 1] Ooh Nashangaa kuona anajiliza Anakuja anatambaa Magoti chini yanaburuzika Sikuwaza alivyoniacha kwenye kiza Mwanaume ni shujaa Na koti la babu likatumika Your ma number one Mwanga gizani Hivyo ndo ulikuwa Ukinidanganya zamani Akili yangu Ilikuwaga matopeni Sielewi ananiswitch tu Hey maruani, pandisha kichwani Huyu mtoto nimrudie Tuwe kama zamani Au ni zamu nimwache ateseke Sielewi sielewi tu

[PRE-CHORUS] Tatizo moyo Moyo ukishararuliwa Hata waje wagambo police Ngumu penzi kurudia Tatizo roho Roho ikishaga umizwa hata lije bomba la upepo Haipoi ikipulizwa

[CHORUS] Ulijua simple yeeh mama Yani simple yeeh mama Ulidhani simple yeeh mama Sina Muda Ulijua simple yeeh mama Yani simple yeeh mama Ulidhani simple tu! Mama Sina Muda

[VERSE 2] Naweza kukusamehe Cuz I loved you girl ooh yeah Kinachonisitisha Starehe And I don’t  even know Kama uliacha au laaah yeeh iyeeh Kama uliacha au laaah

[PRE-CHORUS] Tatizo moyo Moyo ukishararuliwa Hata waje wagambo police Ngumu penzi kurudia Tatizo roho Roho ikishaga umizwa hata lije bomba la upepo Haipoi ikipulizwa

[CHORUS] Ulijua simple yeeh mama Yani simple yeeh mama Ulidhani simple yeeh mama Sina Muda Ulijua simple yeeh mama Yani simple yeeh mama Ulidhani simple tu! Mama Sina Muda

Ulijua simple yeeh mama Yani simple yeeh mama Ulidhani simple yeeh mama Sina Muda Ulijua simple yeeh mama Yani simple yeeh mama Ulidhani simple tu! Mama Sina Muda

[OUTRO] Ulijua simple tu Jua simple yeh Jua simple yehyehyeh

See Also  Chris Pisano Biography, Age, Education,Wife, WRTV6 and Salary.

We will be happy to hear your thoughts

Leave a reply

Wasit
Logo