Heri niwe peke yangu Heri niwe peke yangu Heri niwe peke yangu
Heri niwe peke yangu Heri niwe peke yangu Heri niwe peke yangu Usijeniua
Kweli uzuri sio sura ma Hata na tabia nazochangia Nilikupa penzi kwa mikono yangu miwili Wasema leo nakuigizia
Wataka zima penzi uondoke na mshumaa Mbona ndio kwanza ninaanza kolea? Nimeandaa shamba na mbegu nikapanda Waotesha magugu kwenye mbolea Eeh, eti unaondoka unaondoka unaondoka Kuishi nami we huwezi umechoka Nami nimevishindwa vyako vibwege Sawa sawa
Maroho kwako nashoboka Hutaki niseme na watu kwa kukuogopa Umenivalisha vyeo vingi vya ulofa Haiya ya haiya
Mbona sivyo Sivyo tulivyokubaliana Uje unitese hadharani hadharani Wanirudisha nyuma
Yakuwa tukifika mbele je kuniumiza moyo Sivyo tulivyokubaliana Ee, kupenda mimi basi Wanirudisha nyuma, bora iwe basi
Mwanzoni wa mazuri ila mwisho we ni utoto Naogopa sana kutiana tumbo joto Mbona nijitenge na mwisho nile chocho Chocho msoto unizoee
Kwani umesahau ahadi miadi Ya kuwa tukivuka mwaka huu ndoa Hivi una nini hauna kusudi? Tatizo si kupenda ila mazoea
Eti unaondoka unaondoka unaondoka Kuishi nami we huwezi umechoka Nami nimevishindwa vyako vibwege Sawa, sawa Maroho kwako nashoboka Hutaki niseme na watu kwa kukuogopa Umenivalisha vyeo vingi vya ulofa Haiya haiya haiya
Mbona sivyo Sivyo tulivyokubaliana Uje unitese hadharani hadharani Wanirudisha nyuma
Yakuwa tukifika mbele uje kuniumiza moyo Sivyo tulivyokubaliana Eeh, kupenda mimi basi Wanirudisha nyuma, bora iwe basi
Heri niwe peke yangu Heri niwe peke yangu Heri niwe peke yangu Usijeniua
Heri niwe peke yangu Heri niwe peke yangu Heri niwe peke yangu Usijeniua