Ni David Wonder na Mr Seed again (Alexis on the beat)
Mimi nangoja baraka za Baraka za baba(Za Baba, za Baba) Ooooh zako Yesu(Za Baba, za Baba Baraka za, baraka za baba(Za Baba, za Baba) Ooooh zako Yesu(Za Baba, za Baba)
Ukiinuliwa na mwanadamu Atakushusha chini tena Na mambo yako sio ya siri tena Ju ni yeye tu atazunguka akikusema So niache tu nimtegemee wa nehema
Nimemuona toka kitambo Akiahidi ye hufanya mambo Na hajawai niangusha bado Bado, bado
Nimemuona toka kitambo Akiahidi ye hufanya mambo Na hajawai niangusha bado Bado, bado
Mimi nangoja baraka za Baraka za baba(Za Baba, za Baba) Ooooh zako Yesu(Za Baba, za Baba Baraka za, baraka za baba(Za Baba, za Baba) Ooooh zako Yesu(Za Baba, za Baba)
Ata nikifunga macho ni baraka naziona tena Na ya kwanza ni kwamba, umeniamsha mapema Na ya pili nakiri, we ndo Alfa Omega Na ya tatu ya nne na ya tano Sijawahi omba mkate ukasema no Uko nami milele, yes I know Wowowuwo yeah
Nimemuona toka kitambo Akiahidi ye hufanya mambo Na hajawai niangusha bado Bado, bado
Nimemuona toka kitambo Akiahidi ye hufanya mambo Na hajawai niangusha bado Bado, bado
Mimi nangoja baraka za Baraka za baba(Za Baba, za Baba) Ooooh zako Yesu(Za Baba, za Baba Baraka za, baraka za baba(Za Baba, za Baba) Ooooh zako Yesu(Za Baba, za Baba)
Nimemuona toka kitambo Akiahidi ye hufanya mambo Na hajawai niangusha bado Bado, bado
Nimemuona toka kitambo Akiahidi ye hufanya mambo Na hajawai niangusha bado Bado, bado
Mimi nangoja baraka za Baraka za baba(Za Baba, za Baba) Ooooh zako Yesu(Za Baba, za Baba Baraka za, baraka za baba(Za Baba, za Baba) Ooooh zako Yesu(Za Baba, za Baba)
Na ya tatu ya nne na ya tano Sijawahi omba mkate ukasema no Uko nami milele, yes I know Wowowuwo yeah