Best Naso’s Mziki Lyrics

Kama suspender, mbe mbe mbe Baby hello

Leo unataja nikutoe dinner Oooh nikutoe dinner Mmmh sweety hello

Leo unataka tukale cha mchana Uenjoy my beiby Huba nimezama sijui umeroga Kama umeroga kaongeze tena

Penzi lako tamu sina hali Tamu limezidi asali We ndo daktari wa mapenzi  Fundi yaani fire fire

Ngoma si dibwi, lakata kumbi Kitandani ana vyeti ka fungu Mie taabani

Ona eeh kadata na mziki Tamu siishi hamu Nikiweka anakatika  Tamu siishi hamu

Ona eeh kadata na mziki Tamu tamu siishi hamu Nikiweka anakatika  Tamu tamu siishi hamu

Alamba alamba Tamu tamu siishi hamu Alamba alamba Tamu tamu siishi hamu

Nikirudi kazini  Nakandwa kandwa Massage mwenzenu Hata kuoga naogeshwa

Siku moja mara mbili Nabadilishiwa bukta Huwa anapenda utani Basi daily nacheka

Huku tunakunywa wine Mpaka mida inafika Mimi ananiita dereva wa jahazi Tete ndo moyo wake

Mtoto mashawa tende Halua nampendaga Mwenyewe anasemaga namnogesha  Nayamudu mapigo yake, yeye

Na mi sijiwezi  Ashanitia kabari Ya mapenzi  Niko hoi mahututi

Nalishwa kwa kijiko Penzi tamu bwana  Eeh ah alamba aah

Nalishwa kwa kijiko  Penzi tamu bwana  Eeh ah alamba aah

Nalishwa kwa kijiko Penzi tamu bwana 

Kuna vishawishi vya kila aina Tafadhali usishoboke Pia naahidi kukulinda  Maradhi nisikuletee

Na ujue nina wivu  Maana nakupenda sana Ah nakupendaga

Tabata kigogo msata Njoo maa nionyeshe show Tegeta kwenge mchicha  Njoo maa nionyeshe show

Iyayayaya eeh Njoo maa nionyeshe show Iyayayaya eeh Njoo maa nionyeshe show

Ona eeh kadata na mziki Tamu siishi hamu Nikiweka anakatika  Tamu siishi hamu

Ona eeh kadata na mziki Tamu tamu siishi hamu Nikiweka anakatika  Tamu tamu siishi hamu

See Also  Jo Eaton-Kent Height, Weight, Net Worth, Age, Birthday, Wikipedia, Who, Instagram, Biography

Alamba alamba Tamu tamu siishi hamu Alamba alamba Tamu tamu siishi hamu

Mimi ananiita dereva wa jahazi Na tena moyo wake kainama kainuka Kaokota ndizi banana Beiby nitanunua Hammer Ila bado uchumi unabana

We will be happy to hear your thoughts

Leave a reply

Wasit
Logo