Mimi mwanake Amekuwa nami ndo manake Sifa ni kwake Utanipata wapi ka si kwake
Niwe mtaa ama majuu Ako nami karibu So mi naye ka tattoo Mi nampenda ananipenda tatu
Ameniweka fiti Ameniweka stable kama kiti Na hata time siko fiti Ako nami ka mtego na simiti
Ni nani? Anaweza bila wee Asimame tumuone Ni nani? Anaweza bila wee Asimame tumuone
Niaje aje, Bila we nitaweza aje? Niaje aje Oooh bila we nitaweza aje?
Wewe ndo kila kitu Baba Wewe ndo kila kitu Baba Wewe ndo kila kitu Baba Baba
Nyuma bila kiti Team bila shabiki Ndege bila tikiti Nami nitawezaje bila we rafiki?
Wakati mother alidie Nikajiuliza walai Ukanishika nikicry Sa mi na we hata kunyeshe ama kudry
Umeniweka fiti Umeniweka stable kama kiti Na hata time siko fiti Uko nami ka mtego na simiti
Ni nani? Anaweza bila wee Asimame tumuone Ni nani? Anaweza bila wee Asimame tumuone
Niaje aje, Bila we nitaweza aje? Niaje aje Oooh bila we nitaweza aje?
Wewe ndo kila kitu Baba Wewe ndo kila kitu Baba Wewe ndo kila kitu Baba Baba
Ni Alfa Omega Bila we nitawezaje aje? Mwanzo na mwisho Bila we nitawezaje aje?
Ni Alfa Omega Bila we nitawezaje aje? Ni mwanzo na mwisho Bila we nitawezaje aje?
Niaje aje, Bila we nitaweza aje? Niaje aje Oooh bila we nitaweza aje?
Wewe ndo kila kitu Baba Wewe ndo kila kitu Baba Wewe ndo kila kitu Baba Baba