Ben Pol’s Why Lyrics [English Translation] (Ft. Harmonize)

Ndugu zangu napata malipo ya usaliti (my brothers am getting betrayal) Yakupendwa lakini nikawa sipendeki (of being loved but am not lovable) Sikujua machungu makali kiasi hiki (I didn’t know love hurts to this extent) Hii dozi inatibu vilivyo me sitaki (this dose treats better but I dont want)

Whoaaa amenifanya nawaza(making me stressed) Wangapi niliowatema (how many I left) Kila nikikumbuka najiona mshamba ( When I remember, I see myself a fool) Nguvu zinaniisha siwezi hata kusimama (am out of strength, can’t even stand) Kinacho nisikitisha nastahili hayaa ( what makes me sad, I deserve this) Nguvu zinaniisha siwezi hata kusimama (am out of strength, can’t even stand) Kinacho nisikitisha nastahili hayaa ( what makes me sad, I deserve this)

Why why why why why oooh Why why why why why oooh Why why why why why oooh Why why why why why oooh

Silali silali silali (fofofoo) (I don’t sleep well) Silali silali silali (fofofoo) (I don’t sleep well)

mbona hayaniishi mawazo (aaaaaah)(Why am I still stressed) Nyingi zinajirudia (aaaaah) (remembering so many things) Penzi lake ndo chanzo (aaaaaah) (her love is the genesis of this ) Mmmmh Malipo ni duniani (karma in the world )

Ahela kuhesabiwaa ( hell is being counted) Me nipo bado rehanii  (am still existing) Nimejitela mwana mkiwaa eeh  ( am an ophan) Mmmh Zile heshima kuninyenyekea (with all the respect she gave me ) Nikamwona si chochote kwangu (Hahaa)( I saw her like nothing to me)

Eti mazima nikampotezea  ( I lost all her dignity) Nilivyo maliza tu shida zangu ( when all my problems were gone) (Hahaaa) Ukimuona mwambieni najiuguza najutia (when you see her, tell her am regretting) Tena najiona limbukeni ( I see myself as a savage) Yamenifunza ya dunia (the world has taught me a lot)

See Also  Lucy Farrar

Yale machozi yasiyo na hatia (all the worthless tears) Yana nisubulubuu  ( making me crucify myself) Manjonzi upweke najiinamia ( sorrow, loneliness and nighmares) Nishatubu nisameehe (I ask for forgivesness)

Why why why why why oooh Why why why why why oooh Why why why why why oooh Why why why why why oooh

Silali silali silali (fofofoo) (I don’t sleep well) Silali silali silali (fofofoo) (I don’t sleep well)

mbona hayaniishi mawazo (aaaaaah)(Why am I still stressed) Penzi lake ndo chanzo (aaaaaah)  (her love is the genesis of this)

 

We will be happy to hear your thoughts

Leave a reply

Wasit
Logo